Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ilikuwa sharti akubikiri kufanya kazi kwake...Hiyo ya juu ilikuwa ziarani Italy. Veeery beautiful girlz, na wanafaa hata kwa matumizi sahihi
Wiki 2 zilizopita nilisikia kama kaachiwa huru na bado yupo Libya hadi sasamshana seif islam yukwapi!? maana ww sitegemei ukose habar hizi
Hao walinzi walikuwa Wagalatia nini?, mbona hawavai Hijab? Au hapo deen iliruhusu?
Mkuu, yule alikuwa na mke, asingeweza kuwala wanae
Jamaa alikuwa kicheche sana au umesahahu tabia za waarabu wenye pesa ?
unadhani ni we peke yako ulikuwa una watamani? Tena usikute wakati we unawatamani kimapenzi wengine wanawatamani kimaujuzi ili waendelee kuwatumia kwenye shughuli za kiintelejensia
Ha ha haaaa, sina hakika japo kwa mitandao naona wanaelezea jamaa alikuwa anawachagua mwenyewe means yupi awe bodigadi wake so vigezo vilikuwa ni umahili na urembo huenda
Wenye pesa huifaidi hii dunia jmn