Wako wapi walinzi wa Gaddafi "The Amazonians"?

I real loved ile familia japo they had some past wrongs
 
unadhani ni we peke yako ulikuwa una watamani? Tena usikute wakati we unawatamani kimapenzi wengine wanawatamani kimaujuzi ili waendelee kuwatumia kwenye shughuli za kiintelejensia
 
Dah halafu walikuwa wazuri Mzee mwenyewe alikuwa akiwatumia.
 
Kuna mmoja alikimbilia huku kipindi kile kile nikampokea alifikia karibu na kwetu. Jirani so nikawa nmepewa jukumu la kumfundisha kiswahili mazoea mazoea nika mgonga...aah hakuwa bikra wala nini ghadaff mwenyewe ndo alijuwa anajilia hawa kwa raha zake.so alikuwa anataka awape brand new ili afungue mwenyewe....
 
Wanaume ndio tunachangia tu humu kisa [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Jamaa alikuwa kicheche sana au umesahahu tabia za waarabu wenye pesa ?

Ha ha haaaa, sina hakika japo kwa mitandao naona wanaelezea jamaa alikuwa anawachagua mwenyewe means yupi awe bodigadi wake so vigezo vilikuwa ni umahili na urembo huenda
 
unadhani ni we peke yako ulikuwa una watamani? Tena usikute wakati we unawatamani kimapenzi wengine wanawatamani kimaujuzi ili waendelee kuwatumia kwenye shughuli za kiintelejensia

Hata siwatamani ila naappreciate ule urembo wao. Yaani adui akitaka kumvamia Ghadafi, ilibidi ashangae kwanza maua mazuri ile anashangaa tu, amazonians wanafanya yao....kidding
 
Ha ha haaaa, sina hakika japo kwa mitandao naona wanaelezea jamaa alikuwa anawachagua mwenyewe means yupi awe bodigadi wake so vigezo vilikuwa ni umahili na urembo huenda

Umewahi kutazama series Tyrant ya akina Basaam Al Fayed labda itakufumbua macho tabia za watawala wa kiarabu.
 
Hakuna cha bikira hapo,ilikua vyakula vya kadafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…