Wako wapi walinzi wa Gaddafi "The Amazonians"?

Umuoe mmoja?si utakua unapigwa makofi kila siku unaishia kukimbilia serikali ya mtaa
 
Umewahi kutazama series Tyrant ya akina Basaam Al Fayed labda itakufumbua macho tabia za watawala wa kiarabu.

Sijaitazama mkuu, una link zao nijifunze na huko?
 
nasikia walikua wanawake wa 'kutengeneza tu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…