Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Tz nchi ya ajabu sana,likitokea jambo linazungumzwa wiki moja tu linapotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahanga wa Kariakoo kwa hiyo kesi kwishneiiiNi muda sasa tangu polisi waseme wanawatafuta walotaka kumteka Bonge.
Pamoja na sura zao kuonekana na zaidi kutambuliwa kwa majina hadi leo hakuna kinachoendelea sii kwa polisi au Bonge nae kimya.
Polisi njooni tuambie kinaendelea nini
Pia, soma: Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia
kuvaa ushungi tu pekee haitoshi.bali na matendo
Asee mkuu majibu yako kuntu.kuvaa ushungi tu pekee haitoshi.bali na matendo
Chunguzi zao, hazieleweki.... Uchunguzi nenda Rudi haukamiliki.....Ni muda sasa tangu polisi waseme wanawatafuta walotaka kumteka Bonge.
Pamoja na sura zao kuonekana na zaidi kutambuliwa kwa majina hadi leo hakuna kinachoendelea sii kwa polisi au Bonge nae kimya.
Polisi njooni tuambie kinaendelea nini
Pia, soma: Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia
Ulitaka lizungumzwe mwaka mzima mkuu?Tz nchi ya ajabu sana,likitokea jambo linazungumzwa wiki moja tu linapotea