Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Waungwana heri ya uzima na afya kwenu nyote.
Hapa kila mtu atakuwa shahidi kuwa mwishoni wa mwaka 1999 kurudi nyuma kulikuwa na nyimbo zenye maadiri.
Kwanza unaburudika huku ukipata ujumbe wa kukujenga na maonyo pia kwenye nyimbo hizo hutasikia matusi wala mambo ya ovyo. mashairi yamepangika vizuri sana.
Hizo nyimbo ilikuwa kama kwaya yaani akija mgeni lazima mtaenda azima kaseti kwa jirani kama hamna ili tu mgeni apate burudani maridhawa. Mtasikiliza ninyi nyote pamoja na watoto pia.
Leo hii wasanii wetu ndo kama hivyo nyimbo za matusi ya wazi wazi hata mtoto hayo yanayoitwa mafumbo
lazima atayafumbua na kujua kinacho manishwa ni hki.{mfano ,toto kautaka,weka mate iteleze, mwagia ndani nk}
Kwakweli kizazi hiki kimekoswa vitu vingi sana vya kujenga ubongo wao! Na ndio maana hawa wadogo/watoto zetu hawaja starabika hawana nidhamu.
Wasanii hawa hata lugha yetu adhimu wametuharibia msaani anaimba "hakunaga'" Leo salaam pia inaenda kupokea ni nadra sana kusikia watu wa lika moja wanasalimiana "Habari bwn j" matokeo yake leo hii utasikia
Msalimiaji=>Wozaaa
Anaye salimiwa => Wozaa wozaaaa
au
niaje?= poa
kama kawa?=Kawaida. nk
Nimefanya utafiti wangu nimegundua hizi nyimbo zinazo itwa za kizazi kipya hata hazidumu. Chukua simu za watu 10 wenye nyimbo kwenye simu kisha waambie nipigie nyimbo za diomond za kuanzia mwaka 2017 kurudi nyuma. hakika hutapata mwenye nyimbo hizo hata ukiweka dau la 100k hela yako utabaki nayo.
Lakini kati yao hao waambie wakupigie nyimbo za miaka ya 90 kurudi nyuma nakuapia hutakoswa mtu
asiyekuwa na nyimbo hizo. labda kama uwe na watoto wa mwaka 2002-2006 ndo utakoswa.
Nyimbo za zamani hata leo hii zinapigwa kila sehemu yamikini hata kwenye hafla kubwa za kiserkali nk
nyimbo kama "Rangi ya chungwa" popote utaisikia iwe mjini ama vijijini.
Hata wenye magari binafisi 80% wananyimbo za zamani ama kwaya pia huwezi koswa nyimbo za kongo nk
ni mara chache sana ukasikia nyimbo ya wozu ama mbosso ikipigwa kwenye gari la mtu binafisi.
Wasanii kama akina mbaraka msheeh wameacha alama kubwa sana ya mziki wa kiafrica nje ya nchi kama ujerumani jamaa mmoja aliniambia kuna mitaa huko nyimbo hizi wanazipenda sana.
Ukija kwenye taarbu ndo kabisa imebaki mipashoo tu hakuna la maana.
View attachment 3128585
View attachment 3128587
View attachment 3128585
View attachment 3128585
View attachment 3128585
View attachment 3128587
Nabaki na mswali wako wapi wasanii kama hawa?