Wako wapi wasanii wa enzi hizo? Nasikitika kuona kizazi hiki cha 2000 hakina nyimbo zenye ujumbe/maonyo

Wana nyimbo yao

Chomeka waah, chomoa waah.!!
Woza kala waah, shwaa shwaaah
Hapo mpk uwe na D mbili ndo utaelewa 😹😹
🤣🤣🤣🤣Nkamu🙌 haya Mambo magumu sana aisee
 
Mkuu mziki ume haribika Kuna kajamaa wanakaita mbuzi sjui aiseeh kanacho imba Mimi huwa naona kelele tu
 
Muziki wa Tanzania umeuliwa na kina Ruge, Master J na Mzee wa kuvuta bangi (Saidi Comorien).
 
Hiphop tumepigwa na kitu kizito sana

Ova
 
Itoshe
"Hakuna mapya chini ya jua mkuu"
 
Muziki wa Tanzania umeuliwa na kina Ruge, Master J na Mzee wa kuvuta bangi (Saidi Comorien).
Usikariri basi Ata washing machine rice cooker zipigwe marafiki tu Aki kwenye asili ya kufua kwa mikono kupika kwa mikono
 
madogo wanasema ipachike

iteleze kama joka pangoni

mziki wa kizazi hiki very rubbish

atleast nimezaliwa kwenye 90s

nimeienjoy kidogo mziki mzuri
 

Asante sana mkuu,.Huo ndio ukweli usiopingika siku si nyingi hizi nyimbo zao za eti kizazi kipya hata wao GenZ watakuwa hawataki hata kuzisikia.
 
Ona mwanamme wa Dar huyu, tunaongelea facts wewe unakuja na fantasisies.
Mkuu🤣siyapend hayo. Manyimbo ya zamani Ila naskiliza blues za mambele za zamani labda mara moja moja maisha yakinipiga nitaskliza ngoma ya msondo ngoma_wanaume tumeumbwa mateso🤣

Naskiliza ngoma ya Dunia tunapita basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…