Nipo hapa mkuu
Kwa mazingira yale magumu,ukosefu wa walimu,vitabu,chakula kibaya na matatizo mengine,mimi na wenzangu tumemanage kusoma hadi elimu ya juu
Huku tumekutana na wenzetu waliosoma private schools ambao hawajatumia nguvu nyingi sana kufika hapa
Uspesho wetu unakuja tu kwa sababu,kwa mazingira yale yale,tumeweza kufika elimu ya juu,kwa wingi,kwa michepuo ambao fani zake zinaongoza kwa upungufu wa wataalamu.
Hilo tu