Wako wapi watu hawa? Jamii inawamiss sana

Wako wapi watu hawa? Jamii inawamiss sana

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Habari za jpil wapendwa?? Kuna watu ambao walikuwa ni wabunifu na wapo safi sana katika shughuri zao.nazungumzia watangazaji na madj ambao walijizolea umaarufu sana ila kwa sasa hawajulikani walipo,tafadhari kama unafahamu walipo hawa watu tujuzane ili kama bado wanaendelea na kazi zao niweze kuwasikiliza huko walipo
1😀J JEFF JERRY alikuwa ni dj wa kiss fm na RFA

2:UNCLE SAM alikuwa ni mtangazaji wa kiss fm na RFA

3:KID BWAY alikuwa ni mtangazaji wa RFA

4:JOACHIM MUNGARUGULU(JML) alikuwa ni mtangazaji wa kiss fm

5😀J MAFUVU alikuwa ni dj wa EA radio

6😀J MURI B alikuwa ni dj wa clouds fm

7:TAYANA a.k.a MISS TZE alikuwa ni mtangazaji wa clouds fm

8:EZDEN THE ROKER alikuwa ni mtangazaji wa kiss fm

9:TANDY alikuwa ni mtangazaji wa choice fm

10:STEVE KAFAYA alikuwa mtangazaji wa kiss fm baadae EA radio

11:ABBY na CHRIS walikuwa ni watangazaji wa Big easy pale choice fm

12:SEBO alikuwa ni mtangazaji pale EA radio.

Hawa watu nilikuwa nawapenda sana kazi zao wapo wapi
 
Wapo kwenye pilika pilika za maisha.
 
Kwel Bro, nakumbka Sebo alikua anaipa FNL radha flan hv ya kitofauti kipndi kile, now days imekua ya kawaidaaa sana
 
Joachim Munga Luguru alikuwa anatokea Zambia so i am sure alirudi kwao
 
Usiihusishe jamii nzima. Kuna wengine hatujawamiss na hatuwajui.
Heading yako iwe hivi
"Wako wapi watu hawa? juvenile davis amewamiss Sana."
 
Sebbo mkrugunze kitengo cha mawasiliano pale
Nadhan kala shavu now hatangaz but jamaa alikuwaga frsh kwl
 
Na ML Chriss wa Clouds FM yupo wapi now days ?
 
You the one for me..BUSH BABY...nimekuja kuwashika..whaaat??..
 
Kid bway nasikia jingo zake Capital radio
Joachim Nilisikia kama jamaa alishatutoka, nitaomba kusahihishwa.
Ezden the locker yupo TV1
 
Back
Top Bottom