Wako wapi watu hawa? Jamii inawamiss sana

Wako wapi watu hawa? Jamii inawamiss sana

Kweli wewe wa kitambo stevie kabuye na supertraxx star tv huku background music track ya Common ft the last poets -the corner
 
Sebo yupo e.fm
Tayana aliacha utangaZaji baada ya ishu yke ya kubakwa (fiesta)
Kidbway namuonaga kwny blog yke kidbwaymnayama inaitwa
Dj mavufu amekuwa club dj ukimuhitaji unamuita
 
hvi dj mafuvu kuwa club dj ni kwamba kapanda ngazi kwenda juu zaidi au ndo kashuka kikazi?
 
Sebo yupo e.fm
Tayana aliacha utangaZaji baada ya ishu yke ya kubakwa (fiesta)
Kidbway namuonaga kwny blog yke kidbwaymnayama inaitwa
Dj mavufu amekuwa club dj ukimuhitaji unamuita

Alibakwa na nani mkuu?
Hebu tudadavulie kidogo
 
Edzen the rocker...mtangazaji wangu namba 1 wa vipindi vya hip hop

Kiss collabo mix show ilikuwa hatari na nusu

Hapa ni presenter pale ni MC...msanii akizingua kuchana anaanza yeye...anapasuka kinouma yaan...

Hatari sana EDZEN

HATARI SANA...naona siku hz amekuwa model model wa mavazi

Dah talent inapotea na maji
 
RAHA sana humu,mzaha na majibu ya msadaaa humu ndio kwao
 
Dj Jeff Jerry bado yupo kiss Fm,pia anaendesha kilinge cha hip hop kinaitwa Gogo Vinu pale kona ya bwiru Mwanza
 
Hivi Mully B bado yupo mawingu? Huwa nahisi kuna vitu anavyo kwenye utangazaji ila hakuna binadamu amewahi kugundua....
 
Hivi Mully B bado yupo mawingu? Huwa nahisi kuna vitu anavyo kwenye utangazaji ila hakuna binadamu amewahi kugundua....

Mully B bado yupo clouds ila hatangazi tena yupo kwenye music department kama sikosei.
 
Back
Top Bottom