Wako wapi?

Wako wapi?

Atakuwa alifanya for fun tu,wamekutana grocery basi ikatokea tu,bia tatu ni nauli ya bodaboda

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧

not for fun.. jamaa ukimuona tu hayuko sawa, kachoka na ulevi
 
Nasikiliza matrack ya zamani hapa, wako wapi hawa wasanii waliotamba early 2000s?

-OCG wa Aquelina
-Caz T
-Pikko
-Solid Ground Family
-Noorah
-Spider
-Pasha
-Chelea Man
-Dataz
-Fresh P
-Marlow
-Mike T
-Raddo
-Bob Ludala
-Bob Haisa
-C Pwaa

Nakumbuka mwaka juzi nilimuona Hammer Q alikuja kupiga show grocery moja huku Msewe. Wakamlipa safari ndogo 4.
K sal
jose mtambo
sunche n kapeto
dr levy
raha p
sister p
enika
snoop lee
bab lee
king kiki
j. i
mankamua
ibra da hustler
ibra (aliimbaga chorus ya ect itikadi)
o ten
spack
jiti
Sekion david seki
tabia
kibakuli
mhogo mchungu
babu loliondo
Dr manyaunyau
erick shigongo
Abubakary sadiK
fred waa
 
Back
Top Bottom