Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msimamo wa Rais Ruto kwa wazungu utamgharimu sana, Anaweza kuunganishwa na Gadafi, Sadam, nk.
Vibaraka wa maslahi ya wakoloni hawa hapa. Ruto should not take it loosely.
familia ya kenyatta ni ma settler sawa na wakoloni. ukoloni uko mashakani chini ya Ruto,Ni vurugu tu zao wenyewe maana kauli zake juu ya dola hazina impact. Ruto anapambana na system ya akina Uhuru baada ya kutaka kukata mirija yao.
Kila kiongozi wa Afrika aliyeonyesha nia ya kuiunganisha Afrika au kuifanya nchi yake ijitegemee alipotea; Nkrumah, Gadafi, Magufuli na "Nyerere". Kitu cha kushangaza na cha kufanyia utafiti ni kwanini Mwl. hakuuawa na westerners pamoja na kuwazodoa? Alikuwa amepewa jukumu gani? alikuwa na ulinzi wa aina gani? aliwafurahisha na kitu gani?Ukiwa mzalendo kwenye nchi yako ni lazima uchukiwe na watu wa ndani na nje ya nchi yako the same as JPM
Ndani ya nchi maadui hutokana na ubabe usio na ulazima. Binadamu ni dhaifu bila kujali umepewa jeshi likulinde au la.Ukiwa mzalendo kwenye nchi yako ni lazima uchukiwe na watu wa ndani na nje ya nchi yako the same as JPM
Nyerere alipendwa na wengi ndani ya nchi yake. Ulinzi wa kwanza ni wananchi wako na siyo jeshi.Kila kiongozi wa Afrika aliyeonyesha nia ya kuiunganisha Afrika au kuifanya nchi yake ijitegemee alipotea; Nkrumah, Gadafi, Magufuli na "Nyerere". Kitu cha kushangaza na cha kufanyia utafiti ni kwanini Mwl. hakuuawa na westerners pamoja na kuwazodoa? Alikuwa amepewa jukumu gani? alikuwa na ulinzi wa aina gani? aliwafurahisha na kitu gani?
Mzee Nyerere ametuachia mZigo mkubwa wa jeshi kubwa sana la ulinzi na usalama lilikuwa likimlinda ambalo hadi Sasa tumelirithi. Kila hatua 7 Kuna kambi ya jeshi na kila watu 10 mmoja ni ofisa usalama waliofunzwa ama kutoka Tanzania, Korea, Urusi, China, Israel, Cuba, Hungary, Uingereza au Marekani, na wote wanalipwa. Amani na utulivu tulionao sio kwa bahati mbaya tu, ni mipango ambayo ni ghali sana kuliko kipato Cha nchi. Lakini ni heri ya amani kuliko vita.Nyerere alipendwa na wengi ndani ya nchi yake. Ulinzi wa kwanza ni wananchi wako na siyo jeshi.
Imagine watu M60 waamue kusimama na wewe siyo sababu ya cheo chako bali sababu wamechagua kukufata.
Hili swali zuri.Kila kiongozi wa Afrika aliyeonyesha nia ya kuiunganisha Afrika au kuifanya nchi yake ijitegemee alipotea; Nkrumah, Gadafi, Magufuli na "Nyerere". Kitu cha kushangaza na cha kufanyia utafiti ni kwanini Mwl. hakuuawa na westerners pamoja na kuwazodoa? Alikuwa amepewa jukumu gani? alikuwa na ulinzi wa aina gani? aliwafurahisha na kitu gani?
Msimamo wa Rais Ruto kwa wazungu utamgharimu sana, Anaweza kuunganishwa na Gadafi, Sadam, nk.
Vibaraka wa maslahi ya wakoloni hawa hapa. Ruto should not take it loosely.
Dunia Sasa imegundua kuwa silaha Bora na za kisasa haziko nchi za Magharibi tena. Soko la silaha duniani litahamia Urusi, Iran, China, n.korea na Asia huko. Ruto ili apate kichaka Cha kujikinga jua lazima achague upande wa BRICS kule aliko Ramaphosa na Museven.Vipi mumegeuka au? Nyie si ndio mlisema Marekani ndio kamuingiza?
Mtu anatembelewa na Rais wa Iran unategemea nini?
Anyooshwe huyo Hadi akili zikae sawa.