Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Je, leo hii wakoloni wakiamua kurudi tena mara ya pili kututawala je, waafrika tutaweza kuwazuia kweli ?
Tanganyika itaweza kuwazuia wajerumani wakianzisha vita ya kurudi katika koloni lake ?
Kenya itaweza kuwazuia waingereza ?
Guinea itaweza kumzuia mfaransa ?
Ni nchi ngapi leo hii Afrika zinaubavu wa kupambana na wakoloni wake wakiamua kurudi kwa mara ya pili kwa njia ileile ?
Leo hii ukiwaambia waingereza warudi Hong-Kong,wareno warudi Macau,wajapan warudi mainland China kwa njia zile zile watakunasa vibao.
Tujitafakari