Pekejeng
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 808
- 2,155
Chukua homework hiyo kasome Ndo uje tujadiliKi vipi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua homework hiyo kasome Ndo uje tujadiliKi vipi ?
Gentleman,Achana na hayo jadili kilichopo mezani
Kama unafuatilia kinachoendelea africa ya magharibi, kati ya ufaransa na makoloni yake nadhani utakua umepata picha kamili.Upo colonized ki vipi ?
kibaraka si yule ambae,Na huyo kibaraka ni wewe na genge lako ĺa wakoloni weusi
Hata mimi naona bora warudi tuAngalao watakuwa ni tofauti na hawa Wakoloni weusi.
Siku hizi mnatawaliwa kwa kutumia saikolojia na akili tu! Na siyo nguvu kama zamani. Labda itokee kama mtawala anataka kuwatunishia msuli hao Wakoloni kama ilivyokuwa kwa Gaddaf, ndiyo nguvu inatumika.Je, leo hii wakoloni wakiamua kurudi tena mara ya pili kututawala je, waafrika tutaweza kuwazuia kweli ?
Tanganyika itaweza kuwazuia wajerumani wakianzisha vita ya kurudi katika koloni lake ?
Kenya itaweza kuwazuia waingereza ?
Guinea itaweza kumzuia mfaransa ?
Ni nchi ngapi leo hii Afrika zinaubavu wa kupambana na wakoloni wake wakiamua kurudi kwa mara ya pili kwa njia ileile ?
Leo hii ukiwaambia waingereza warudi Hong-Kong,wareno warudi Macau,wajapan warudi mainland China kwa njia zile zile watakunasa vibao.
Tujitafakari
Swali bado lipo pale pale sielewi ni watu wengi wa humu sio waelewa ama nini ?Siku hizi mnatawaliwa kwa kutumia saikolojia na akili tu! Na siyo nguvu kama zamani. Labda itokee kama mtawala anataka kuwatunishia msuli hao Wakoloni kama ilivyokuwa kwa Gaddaf, ndiyo nguvu inatumika.
Kwa Afrika ya Mashariki labda Ethiopia na Wasomali kwa Afrika ya Magharibi sioni kwa Afrika ya Kaskazini Algeria na Misri kwa kusini mwa Afrika SA na Angola.Tuachane na hayo.
Je, ni nchi ngapi leo Afrika zinauwezo wa kuzuia wakoloni wake wakirejea kwa njia zile zile ?
Kama unapenda kuwa uchochoro waalike wazazi wako, wadogo zako na nduguzo mkatawaliwe hukohuko waliko.Je, leo hii wakoloni wakiamua kurudi tena mara ya pili kututawala je, waafrika tutaweza kuwazuia kweli ?
Tanganyika itaweza kuwazuia wajerumani wakianzisha vita ya kurudi katika koloni lake ?
Kenya itaweza kuwazuia waingereza ?
Guinea itaweza kumzuia mfaransa ?
Ni nchi ngapi leo hii Afrika zinaubavu wa kupambana na wakoloni wake wakiamua kurudi kwa mara ya pili kwa njia ileile ?
Leo hii ukiwaambia waingereza warudi Hong-Kong,wareno warudi Macau,wajapan warudi mainland China kwa njia zile zile watakunasa vibao.
Tujitafakari
Ulichomaanisha ni kutuvamia na kututawala kinguvu kitu ambacho ni ngumu kwa sasa japo inawezekana lakini uhai wa ukoloni ni unyonyaji. Kama waweza kula kwa jitihada kidogo kwa nini ujihangaisheUmesoma nilichouliza ?
Haya jibu jepesi ni hili hapa! Hilo jambo unaloliwazia, haliwezekani. Maana hawana sababu ya kufanya hivyo. Na isitoshe mfumo wa ukoloni (kutawala watu kwa nguvu) ulishapitwa na wakati.Swali bado lipo pale pale sielewi ni watu wengi wa humu sio waelewa ama nini ?
Swali ni je wakoloni wakiamua kurudi tena mara ya pili kwa njia ileile waliyotumia mwanzo ni njia ngapi zenye uwezo wa kuwazuia hapa Afrika ?
Leo hii wajerumani waje waivamie Tanganyika je tuna huo uwezo wa kuwazuia kutimiza adhma yao ?