kuna Kibaraka wao moja yupo chadema,eti anagombea uenyekiti wa chadema Taifa kwa niaba ya wakolni,Je, leo hii wakoloni wakiamua kurudi tena mara ya pili kututawala je, waafrika tutaweza kuwazuia kweli ?
Tanganyika itaweza kuwazuia wajerumani wakianzisha vita ya kurudi katika koloni lake ?
Kenya itaweza kuwazuia waingereza ?
Guinea itaweza kumzuia mfaransa ?
Ni nchi ngapi leo hii Afrika zinaubavu wa kupambana na wakoloni wake wakiamua kurudi kwa mara ya pili kwa njia ileile ?
Leo hii ukiwaambia waingereza warudi Hong-Kong,wareno warudi Macau,wajapan warudi mainland China kwa njia zile zile watakunasa vibao.
Tujitafakari
Walisharudi mara ya piliUnataka kusema nini ?
Africa hatujawahi pata uhuru kamili, tulipewa uhuru wa bendera bt behind the scene bado tupo colonized.Je, leo hii wakoloni wakiamua kurudi tena mara ya pili kututawala je, waafrika tutaweza kuwazuia kweli ?
Tanganyika itaweza kuwazuia wajerumani wakianzisha vita ya kurudi katika koloni lake ?
Kenya itaweza kuwazuia waingereza ?
Guinea itaweza kumzuia mfaransa ?
Ni nchi ngapi leo hii Afrika zinaubavu wa kupambana na wakoloni wake wakiamua kurudi kwa mara ya pili kwa njia ileile ?
Leo hii ukiwaambia waingereza warudi Hong-Kong,wareno warudi Macau,wajapan warudi mainland China kwa njia zile zile watakunasa vibao.
Tujitafakari
Umeelewa nilicho'reply?!Umesoma nilicho andika ?
Warudi mara ya ngapi?Je, leo hii wakoloni wakiamua kurudi tena mara ya pili kututawala je, waafrika tutaweza kuwazuia kweli ?
Tanganyika itaweza kuwazuia wajerumani wakianzisha vita ya kurudi katika koloni lake ?
Kenya itaweza kuwazuia waingereza ?
Guinea itaweza kumzuia mfaransa ?
Ni nchi ngapi leo hii Afrika zinaubavu wa kupambana na wakoloni wake wakiamua kurudi kwa mara ya pili kwa njia ileile ?
Leo hii ukiwaambia waingereza warudi Hong-Kong,wareno warudi Macau,wajapan warudi mainland China kwa njia zile zile watakunasa vibao.
Tujitafakari
Na huyo kibaraka ni wewe na genge lako ĺa wakoloni weusikuna Kibaraka wao moja yupo chadema,eti anagombea uenyekiti wa chadema Taifa kwa niaba ya wakolni,
haijulikani wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa watakubali au watamkataa kibaraka huyo 🐒