Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka leo mbao ngumu bado ni bidhaa inayopelekwa Ulaya kila siku.View attachment 1824864
Mbao ngumu kutoka Afrika
Fikiria misitu waliyoikuta wakati wanawasainisha mababu zetu mikataba mibovu. Hatutakaa tujue idadi ya magogo yaliyoondoka Afrika bila visa.
Wakongo kule Brussels wameamua kuchukua bebefit eti wanafidia mali aliyochukua King Leopard. Wqsichokijua ni kuwa kuishi kwa bebefit ni kufa masikini.Na nyie chukueni mikopo kutoka kwao na msilipe. Hiyo ndiyo dawa yao.
Kuna Rais mmoja wa awamu fulani alijifanya mlipaji mzuri wa madeni ya hao wazungu ili asifiwe🤣
View attachment 1824864
Mbao ngumu kutoka Afrika
Mti Mgumu ni Mpingo na Mninga.
Mti Mgumu ni Mpingo na Mninga.
Ongezea mkongo na kuna miti pori pia ipo nayo migumuMti Mgumu ni Mpingo na Mninga.
Napenda sana mbao ngumu kuweka kwenye nyumbaView attachment 1824864
Mbao ngumu kutoka Afrika
Inabidi uwe na pesa za ziada maana mbao ngumu zinaketa kiza ndani. Inabidi uwashe taa masaa 24.Napenda sana mbao ngumu kuweka kwenye nyumba
Matajiri wengi decoration ndani ya nyumba hutumia mbao ngumu sasa gharama yake sasa
Ova
Ongezea mkongo na kuna miti pori pia ipo nayo migumu
Ova
Na wakikuona sakala unalipia mninga unapewa mlango wa mtiki
Mtiki na Mninga zinafanana muonekano?Na wakikuona sakala unalipia mninga unapewa mlango wa mtiki
Na kuna miti inaitwa Mkuruti. Hii miti, magogo yake yana soko sana EuropeOngezea mkongo na kuna miti pori pia ipo nayo migumu
Ova
Huwezi kuacha mvanga na mgwina, kiboko cha mchwa. Siku hizi ni adimu sana.Mti Mgumu ni Mpingo na Mninga.