Wakoloni walibeba magogo na mbao zetu

Wakoloni walibeba magogo na mbao zetu

Huwezi kuacha mvanga na mgwina, kiboko cha mchwa. Siku hizi ni adimu sana.
Tatizo hard wood inachukua muda kupevuka. Hard wood yenye quality nzuri huwa na miaka 200+. Haya ndiyo magogo mengi tuliyoibiwa.

Ukiamua kuotesha mgwina uwe ni kwa matumizi ya generation ijayo.
 
Na nyie chukueni mikopo kutoka kwao na msilipe. Hiyo ndiyo dawa yao.

Kuna Rais mmoja wa awamu fulani alijifanya mlipaji mzuri wa madeni ya hao wazungu ili asifiwe[emoji1787]
Sasa shida masharti magumu Mkuu
 
Yes Mkongo ,bei zake kwa mafundi hazishikiki...Niliulizia fremu ya malango wa Mninga jamaa akaniambia laki 2 na 70 hahahaa.
Na apo mkuu uyo jamaa amefanya fair mninga mbao moja nzuri kabisa elfu tisini ili upate fremu inaitaji mbao 3 apo bado kuranda kupiga msasa wa grenda ufundi na finishing zingine.
 
Na apo mkuu uyo jamaa amefanya fair mninga mbao moja nzuri kabisa elfu tisini ili upate fremu inaitaji mbao 3 apo bado kuranda kupiga msasa wa grenda ufundi na finishing zingine.

Hatari Mkuu vitu vizuri vya mkataba miaka 100 havigusiki kwa bei ,wakati mlingoti 120 fremu na top.
 
Kuna mmoja unaitwa Mpili pili, kuna unaitwa Mtundu. Inapigwa misumari ikiwa bado mibichi tu. Ikikauka inch 6 unapinda. Haubunguliwi na mchwa wala kuoza.
 
Na nyie chukueni mikopo kutoka kwao na msilipe. Hiyo ndiyo dawa yao.

Kuna Rais mmoja wa awamu fulani alijifanya mlipaji mzuri wa madeni ya hao wazungu ili asifiwe[emoji1787]
Unaongea utumbo kama Musiba
 
Maada inaumiza roho hii ila ndo hivo sina la kuwafanya yu
 
Tatizo hard wood inachukua muda kupevuka. Hard wood yenye quality nzuri huwa na miaka 200+. Haya ndiyo magogo mengi tuliyoibiwa.

Ukiamua kuotesha mgwina uwe ni kwa matumizi ya generation ijayo.
Kuna mti unaitwa mseke seke acha kabisa uk na china washaugombania sana kutoka ikweriri na kibiti na kilwa kipatimu, Rose tree.
 
Unaongea utumbo kama Musiba

Mtu kaibia Babu na Baba zako na bado leo anakuibia wewe, halafu anakupa "mkopo" je ni sawa kumlipa huo mkopo??--- kama alifanya sawa kuchukua/kupora mali zako bila ridhaa yako basi kulipa mkopo ni sawa.

Tumia akili yako ya kuzaliwa kutafakari juu ya jambo hili.
 
Huyo Babu na Baba yako yeye alikuwa zuzu akaibiwa, wewe wamekupa nchi unayoishi Leo huna Cha kuwafanya
 
Huyo Babu na Baba yako yeye alikuwa zuzu akaibiwa, wewe wamekupa nchi unayoishi Leo huna Cha kuwafanya

Watu wote wanaoibiwa ni mazuzu??!, wewe toka uzaliwe hujawahi kuibiwa??!!.-- je ulikuwa zuzu??!!.

Mtoto wa nyoka ni nyoka.

Hawa wazungu (nyoka) wa leo ni watoto na wajukuu na vitukuu vya wazungu (nyoka) waliotutawala, basi ni mwendawazimu yule anayemlipa mwizi wake deni la shs 2000/= wakati yeye aliibiwa shs 200,000/=.

[Shs 2000/= vs shs 200,000/=]
 
Back
Top Bottom