Wakoloni walibeba magogo na mbao zetu

Fikiria misitu waliyoikuta wakati wanawasainisha mababu zetu mikataba mibovu. Hatutakaa tujue idadi ya magogo yaliyoondoka Afrika bila visa.

Na nyie chukueni mikopo kutoka kwao na msilipe. Hiyo ndiyo dawa yao.

Kuna Rais mmoja wa awamu fulani alijifanya mlipaji mzuri wa madeni ya hao wazungu ili asifiwe🀣
 
Na nyie chukueni mikopo kutoka kwao na msilipe. Hiyo ndiyo dawa yao.

Kuna Rais mmoja wa awamu fulani alijifanya mlipaji mzuri wa madeni ya hao wazungu ili asifiwe🀣
Wakongo kule Brussels wameamua kuchukua bebefit eti wanafidia mali aliyochukua King Leopard. Wqsichokijua ni kuwa kuishi kwa bebefit ni kufa masikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…