Tatizo hard wood inachukua muda kupevuka. Hard wood yenye quality nzuri huwa na miaka 200+. Haya ndiyo magogo mengi tuliyoibiwa.Huwezi kuacha mvanga na mgwina, kiboko cha mchwa. Siku hizi ni adimu sana.
Sasa shida masharti magumu MkuuNa nyie chukueni mikopo kutoka kwao na msilipe. Hiyo ndiyo dawa yao.
Kuna Rais mmoja wa awamu fulani alijifanya mlipaji mzuri wa madeni ya hao wazungu ili asifiwe[emoji1787]
Na apo mkuu uyo jamaa amefanya fair mninga mbao moja nzuri kabisa elfu tisini ili upate fremu inaitaji mbao 3 apo bado kuranda kupiga msasa wa grenda ufundi na finishing zingine.Yes Mkongo ,bei zake kwa mafundi hazishikiki...Niliulizia fremu ya malango wa Mninga jamaa akaniambia laki 2 na 70 hahahaa.
Ustaarabu wa kutulazimisha vidume tunyanduane??? Hawana huo ustaarabu wanatuzid ushawish tu.Kutoka Afrika: Mbao, watumwa, pembe za ndovu, madini,
Kutoka kwao: Ustaarabu [emoji3][emoji848],vioo, midoli
Na apo mkuu uyo jamaa amefanya fair mninga mbao moja nzuri kabisa elfu tisini ili upate fremu inaitaji mbao 3 apo bado kuranda kupiga msasa wa grenda ufundi na finishing zingine.
Grants, Johnwalker na GordonKutoka Afrika: Mbao, watumwa, pembe za ndovu, madini,
Kutoka kwao: Ustaarabu ππ€,vioo, midoli
Captain Morgan, Zappa, Malibu,moet, na ujinga mwingine πGrants, Johnwalker na Gordon
Unaongea utumbo kama MusibaNa nyie chukueni mikopo kutoka kwao na msilipe. Hiyo ndiyo dawa yao.
Kuna Rais mmoja wa awamu fulani alijifanya mlipaji mzuri wa madeni ya hao wazungu ili asifiwe[emoji1787]
Kuna mti unaitwa mseke seke acha kabisa uk na china washaugombania sana kutoka ikweriri na kibiti na kilwa kipatimu, Rose tree.Tatizo hard wood inachukua muda kupevuka. Hard wood yenye quality nzuri huwa na miaka 200+. Haya ndiyo magogo mengi tuliyoibiwa.
Ukiamua kuotesha mgwina uwe ni kwa matumizi ya generation ijayo.
Ama hakika mbao ni pambo la maana sana.
Unaongea utumbo kama Musiba
Huyo Babu na Baba yako yeye alikuwa zuzu akaibiwa, wewe wamekupa nchi unayoishi Leo huna Cha kuwafanyaMtu kaibia Babu na Baba zako na bado leo anakuibia wewe, halafu anakupa "mkopo" je ni sawa kumlipa huo mkopo??--- kama alifanya sawa kuchukua/kupora mali zako bila ridhaa yako basi kulipa mkopo ni sawa.
Tumia akili yako ya kuzaliwa kutafakari juu ya jambo hili.
Huyo Babu na Baba yako yeye alikuwa zuzu akaibiwa, wewe wamekupa nchi unayoishi Leo huna Cha kuwafanya