Wakoloni walitaka jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu,ghafla likaelekea Bagamoyo na Morogoro

Wakoloni walitaka jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu,ghafla likaelekea Bagamoyo na Morogoro

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Master plan ya wakoloni ilitaka mji au jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu.majengo yaliyopo mtaa wa Nkrumah ,viwanda Pugu Road,na uwekezaji mwingine kwa njia hiyo ni ushahidi tosha.

Baada ya Uhuru mji ukaelekea Bagamoyo Road na Morogoro Road.

Kumbuka Pugu Road ina uwezo wa kufika Morogoro na mikoa ya bara vizuri tu.

Makosa yaliyofanyika baada ya uhuru ni kuitelekeza Kigamboni,ukifika New york ni kama visiwa tu,kigamboni ingewekwa kwenye mipango miji taasisi za kiserikali na uwekezaji mkubwa ungewekwa huko tangu zsmani,na hilo daraja lingejengwa magogoni sio kurasini,mjo ungejibalance swala la foleni lisingekuwa tatizo.

USA kuna barabara zina zaidi ya miaka 100 na ni more than 8 lane,unajiuliza hawa watu walijuaje kuwa baadae kutakuja kuwa na magari na foleni?
 
Yeye amesema wakoloni, ni mawazo ya wakoloni, maana yeye hakuwepo. Hivi wakoloni ni watu gani? Je wanatofautiana rangi? Je mm mtu mweusi siwezi kuitwa mkoloni
 
Back
Top Bottom