Wakoma wageuka Mashujaa na kuiokoa Nchi

Wakoma wageuka Mashujaa na kuiokoa Nchi

Eti wanatutishiwa kifo sie WAKOMA 4, tuliotengwa, tumepigika, no food,hamna Kila kitu!!!

Tukijificha tutakufa, tukienda Ili tukafe, Mungu ataenda nasi Ili kuiponya Nchi.

Neno la Mungu ni Kweli na AMIN!!
Linaishi na watu wenye ujasiri sikunzote. Huibuka washindi.

Tundu Lissu ni case study.
 
Duuh, eti wahaini...!!

Peter Madeleka

Dr Wilbroad P. Slaa

Boniface Mwambukusi.

Nyangali Mdude..
===================================================

NB: Hivi kuna mtu anaisasambua na kuivua nguo serikali hii chini ya CCM ya "nani kama mama" kama Tundu Lissu na Freeman Mbowe na CHADEMA kwa ujumla?

Acha kishindo cha wakoma kituletee chakula toka Kambi ya washami (mafisadi ya CCM) njaa ikome!!
 
Linaishi na watu wenye ujasiri sikunzote. Huibuka washindi.

Tundu Lissu ni case study.
Changes haijawahi tokea kama watu hawajajikana NAFSI zao Kwa ajili Mungu wao, Taifa na family.

Wanajeshi wetu ni mfano mwingine uliotukuka!!!

Tunapoenda kulala, wao ndo kwanza kumekucha.

Mungu wabariki WANAJESHI!!!
 
Duuh, eti wahaini...!!

Peter Madeleka

Dr Wilbroad P. Slaa

Boniface Mwambukusi.

Nyangali Mdude..
===================================================

NB: Hivi kuna mtu anaisasambua na kuivua nguo serikali hii chini ya CCM ya "nani kama mama" kama Tundu Lissu na Freeman Mbowe na CHADEMA kwa ujumla?

Acha kishindo cha wakoma kituletee chakula toka Kambi ya washami (mafisadi ya CCM) njaa ikome!!
Mungu awasikilizishe kishindo kikuu Cha WAKOMA 4, kambi isambaratike.

Tuliopitia medani, UJASIRI ni silaha kubwa kuliko bunduki ilojaa risasi!!

Mungu wabariki WAKOMA 4🙏🙏
 
Washami walipigwa upofu kuanzia macho ya rohoni hadi ya mwilini.Yani hata hawakujishughulisha kuweka doria kuzuia wasivamiwe wala kupanda hata juu ya miti kujiridhisha ni akina nani wanawajia kwa kishindo!🤔
Hiyo yote ni Mungu anapekeka ujumbe Kwa Wafalme kuwa Yeye ndiye atawalaye juu ya nchi.

Awatesaye WAKOMA 4,maskini, wajane na yatima anapambana na Mungu!!!

Na vita hiyo ni kubwa!!!
 
Wakoma wa Tanzania watatumikaje kufukuza jeshi la washami?
Watatumiwa na nani?
TL Na FAM kwa nini wasiongoze maandamano ya kupiga?
 
Inayotakiwa ni hatua ya IMANI na UJASIRI!!

Kuhusu njia Gani italeta ushindi Mungu ajua.

Amen
Nadhani inahitaji mtu mwenye ushawishi mkubwa kwenye jamii ahamasishe watu wanaochukizwa na yanayoendelea kufanya maandamano ya amani
 
Nadhani inahitaji mtu mwenye ushawishi mkubwa kwenye jamii ahamasishe watu wanaochukizwa na yanayoendelea kufanya maandamano ya amani
WAKOMA 4 wanatosha!!! Wametangulia mbele nasi tutoke nje Ili kupokea Muujiza wetu.

Zamanii, Nyerere akiwa na Wachache, alisaidia Nchi kupata uhuru.
 
Ujasiri wa WAKOMA 4 ni WA ajabu, walisema Bora twende Kwa Washami TUKACHINJWE, kuliko kukaa hapa tukisubiri kifo kijacho Polepole Kwa siku 5 Hadi 7 mbele Kwa njaa!!!

Njaa mbaya sana ndugu zangu, wengi wamo JELA sababu ya kuiba chakula Ili wasife njaa,

Pangelikuwapo UPENDO juu ya nchi, ingetungwa SHERIA kuwa jobless wote walipwe posho kiduchu Kila mwezi Ili kujikimu wasife njaa. Maana Kila mtu ana HAKI ya kuishi, na bila kula atakufa.

Uliyeshiba, wakumbuke wenye NJAA 🙏🙏
 
Ahsante Lema Kwa kurejea nguvu ya UMOJA wa watu wanaodharaulika, kuwa tunaweza kuikomboa nchi yetu ikiwa tutajiamini na kujitenga na WOGA.

Ubarikiwe Nabii Lema🙏
 
Back
Top Bottom