Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Linaishi na watu wenye ujasiri sikunzote. Huibuka washindi.Eti wanatutishiwa kifo sie WAKOMA 4, tuliotengwa, tumepigika, no food,hamna Kila kitu!!!
Tukijificha tutakufa, tukienda Ili tukafe, Mungu ataenda nasi Ili kuiponya Nchi.
Neno la Mungu ni Kweli na AMIN!!
Ubarikiwe kiongozi kwa kushare hii kitu.AUDIO: Njiro Sda Church Choir β Kishindo Cha Wakoma | Download AUDIO: Njiro Sda Church Choir β Kishindo Cha Wakoma | Download
Sent using Jamii Forums mobile app
Changes haijawahi tokea kama watu hawajajikana NAFSI zao Kwa ajili Mungu wao, Taifa na family.Linaishi na watu wenye ujasiri sikunzote. Huibuka washindi.
Tundu Lissu ni case study.
Mungu awasikilizishe kishindo kikuu Cha WAKOMA 4, kambi isambaratike.Duuh, eti wahaini...!!
Peter Madeleka
Dr Wilbroad P. Slaa
Boniface Mwambukusi.
Nyangali Mdude..
===================================================
NB: Hivi kuna mtu anaisasambua na kuivua nguo serikali hii chini ya CCM ya "nani kama mama" kama Tundu Lissu na Freeman Mbowe na CHADEMA kwa ujumla?
Acha kishindo cha wakoma kituletee chakula toka Kambi ya washami (mafisadi ya CCM) njaa ikome!!
Hiyo yote ni Mungu anapekeka ujumbe Kwa Wafalme kuwa Yeye ndiye atawalaye juu ya nchi.Washami walipigwa upofu kuanzia macho ya rohoni hadi ya mwilini.Yani hata hawakujishughulisha kuweka doria kuzuia wasivamiwe wala kupanda hata juu ya miti kujiridhisha ni akina nani wanawajia kwa kishindo!π€
Inayotakiwa ni hatua ya IMANI na UJASIRI!!Wakoma wa Tanzania watatumikaje kufukuza jeshi la washami?
Watatumiwa na nani?
TL Na FAM kwa nini wasiongoze maandamano ya kupiga?
Nadhani inahitaji mtu mwenye ushawishi mkubwa kwenye jamii ahamasishe watu wanaochukizwa na yanayoendelea kufanya maandamano ya amaniInayotakiwa ni hatua ya IMANI na UJASIRI!!
Kuhusu njia Gani italeta ushindi Mungu ajua.
Amen
WAKOMA 4 wanatosha!!! Wametangulia mbele nasi tutoke nje Ili kupokea Muujiza wetu.Nadhani inahitaji mtu mwenye ushawishi mkubwa kwenye jamii ahamasishe watu wanaochukizwa na yanayoendelea kufanya maandamano ya amani