Sijaelewa kabisa, kwanini rais wa yanga injinia aliyoko Tanzania akawasaidie wacongoman
Nadhani itoshe kuona kuwa wanahitaji msaadaSijaelewa kabisa, kwanini rais wa yanga injinia aliyoko Tanzania akawasaidie wacongoman
Bakuli lipite kwa Watz
Umejawa na roho mbaya tu. Unaleta politics kwenye masuala nyetiHersi awaoneshe hiyo clip wakongo man wake ambao wanalamba dau kubwa kumzidi fei tuone huruma yao katika hili
Yanga ni timu ya WananchiSijaelewa kabisa, kwanini rais wa yanga injinia aliyoko Tanzania akawasaidie wacongoman
Kumbe makolo bado tu mnalia lia na suala feitoto mpaka leo yaan dau la fei linawauma kuliko bil 20 ambazo hazijulikani zilipoHersi awaoneshe hiyo clip wakongo man wake ambao wanalamba dau kubwa kumzidi fei tuone huruma yao katika hili
Ajabu sanaKumbe makolo bado tu mnalia lia na suala feitoto mpaka leo yaan dau la fei linawauma kuliko bil 20 ambazo hazijulikani zilipo
Tatizo lako tu moja wewe utambui uwepo wa Mungu.Hersi awaoneshe hiyo clip wakongo man wake ambao wanalamba dau kubwa kumzidi fei tuone huruma yao katika hili
Ni mtu wa ajabu sana huyuKiswahili cha wakongo kinapendeza sana hasa lafudh yao. wananiachaga hoi wanaposema unatumika wapi? Badala unafanya kazi wapi? Iyo fasi yako
Very painful, Mungu amsaidie engineer Hersi na Gharibu waguswe inshallah Mungu wetu sote awaponye
SaaanaVery painful, Mungu amsaidie engineer Hersi na Gharibu waguswe inshallah Mungu wote sote awaponye