Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Wa hapa wanasaidiwa kupitia GSM FoundationWatanzania kwa unafiki na kupenda sifa hata hapa Tanzania kuna watu wanaishi maisha magumu kushinda hao tena magumu kweli labda kama wachezaji wao wanataka kuwachangia.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app