Wakongo na timu ya Yanga. Imeniuma sana

Watanzania kwa unafiki na kupenda sifa hata hapa Tanzania kuna watu wanaishi maisha magumu kushinda hao tena magumu kweli labda kama wachezaji wao wanataka kuwachangia.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Ni kweli hata hapa Tanzania kuna watu wana shida. Ndio maana Yanga ikiongozwa na Eng Hersi wamekuwa wanatoa misaada kwa hao wenye shida. Pengine ndio sababu ya hawa kumuomba

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Watanzania kwa unafiki na kupenda sifa hata hapa Tanzania kuna watu wanaishi maisha magumu kushinda hao tena magumu kweli labda kama wachezaji wao wanataka kuwachangia.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Kwani watanzania hawasaidiwi na watu wa nchi nyingine? Hizo nchi unadhani hazina watu wenye matatizo?
Nonsense.
 
Unataka kupima roho za wakongo wakati issue hapa ni kusaidia wenye shida. Huoni umuhimu wa kusaidia kutatua tatizo la mwenzako. Unachotaka ni cheap popularity tu. Roho mbaya

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Kwani hao wachezaji wa kikongo hawapo kwenye nafasi ya kusaidia
 
Kwani watanzania hawasaidiwi na watu wa nchi nyingine? Hizo nchi unadhani hazina watu wenye matatizo?
Nonsense.
Nchi kama ipi Africa inaisidia Tanzania kama ni wazungu sasa unataka kufananisha masikini wa kizungu na wakibongo tatizo hili swala limekaa kishabiki sio kiuhalisia na wale jamaa wanavyopenda camera tayari wameshapata BOOSTER hapo kaa na ujinga wako mpaka hersi aje.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…