Hahhahah nimekumbuka kitamboo saaana lol.....those good daysTumboo, bishanga, Baba V, mamndenyi, babu Aspirin, Mbu, Qloroquine, mentor
Naskia huyu jamaa aliwekwa kinyumba na jimamaHivi uenyekiti nilikabidhi mtu kweli?? sidhani, inabidi nirudi kwenye kiti changu kimyakimya, na JF Udaku iamke. Wapi TANMO ?
Jana na leoDah! ya kwanza hii hapa Evelyn Salt na yule mwingine...jukwaa lilisimama kwa muda