Nasikia ma-mvi kadedi.Siku nyingine usiwe unahuliza, uwe unauliza ili ujibiwe
Nakumbuka na hongera sana sana kwa mchango wako chanya ndani ya jamii.Hahahahaha alikua ndugu yangu wa JF na bado ni ndugu yangu wa JF ila mambo mengi tu siku hizi, unakumbuka kwenye ile picha tulipokwenda Ocean Road?? Ulikuepo? Hahahahaha JF ooghh nakupenda sana JF
Nitakuja nayo uniambie we pale ndo nani.Hahahahaha alikua ndugu yangu wa JF na bado ni ndugu yangu wa JF ila mambo mengi tu siku hizi, unakumbuka kwenye ile picha tulipokwenda Ocean Road?? Ulikuepo? Hahahahaha JF ooghh nakupenda sana JF
Morning to you!!!Madame B goodmorning! nakumbuka sana mambo yako.
ndiyo mkuu lazima heshima ya wazee irudi.Vizuri sana naona unarudisha heshima ya wazee
ili heat sana sana. nguvu bado zipo lakini.Morning to you!!!
Hahhah....umewaza nini wewe Tembosa?
Ahahhah.....mie sijambo
Hivi unajua waume zangu wa enzi hizo Ben Saanane na hasimu wake Arushaone walipo?
Dahhh!!!
Chitchat ya miaka ile
Tembosa tupo mkuu wala vidole havijazeeka wala haviwezi zeeka ila mapambano ya maisha yanatufanya tuwe busy sanaIwe hivi sasa...
Bila kujali muda na Umri wako Jf
Chit chat iamke!!
Wakongwe Hoyeee.
Nitakuja na list muda sio mrefu.
miss chagga upo?
Una kila sababu yakutunukiwa crown ya ukongwe! I miss those old time here,
Mr Rocky sitaki kuamini kuwa vidole vimezeeka and u can't write
To be continued...