Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Hahahahaha alikua ndugu yangu wa JF na bado ni ndugu yangu wa JF ila mambo mengi tu siku hizi, unakumbuka kwenye ile picha tulipokwenda Ocean Road?? Ulikuepo? Hahahahaha JF ooghh nakupenda sana JF
Nakumbuka na hongera sana sana kwa mchango wako chanya ndani ya jamii.
Mzee Mtambuzi wapi yeye? mli play part kubwa sana kuisaidia jamii! mambo kama haya siyo yakusahau.
 
Hahahahaha alikua ndugu yangu wa JF na bado ni ndugu yangu wa JF ila mambo mengi tu siku hizi, unakumbuka kwenye ile picha tulipokwenda Ocean Road?? Ulikuepo? Hahahahaha JF ooghh nakupenda sana JF
Nitakuja nayo uniambie we pale ndo nani.
Au ndo yule uliyelia na kugoma kuingia floor ya 2 ukabaki mlangoni?
 
Iwe hivi sasa...
Bila kujali muda na Umri wako Jf
Chit chat iamke!!
Wakongwe Hoyeee.
Nitakuja na list muda sio mrefu.
miss chagga upo?
Una kila sababu yakutunukiwa crown ya ukongwe! I miss those old time here,
Mr Rocky sitaki kuamini kuwa vidole vimezeeka and u can't write

To be continued...
Tembosa tupo mkuu wala vidole havijazeeka wala haviwezi zeeka ila mapambano ya maisha yanatufanya tuwe busy sana
Asante sana kutukumbuka
 
Tembosa tupo mkuu wala vidole havijazeeka wala haviwezi zeeka ila mapambano ya maisha yanatufanya tuwe busy sana
Asante sana kutukumbuka
ha ha ha karibu mkuu.
wapi wale marafiki zako wazuri?
mlikuwa mnasimamisha jukwaa kwa muda ati
 
Back
Top Bottom