Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,646
Ni poa sana,hofu kwako tuPowa za masiku teleee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni poa sana,hofu kwako tuPowa za masiku teleee
Niko salama kabisaNi poa sana,hofu kwako tu
Please stayYaani huu uzi umenivutia sana, kuna wakuu humu niliwakuta kipindi najiunga walikua vichwa hatari, hadi najikuta naishia kusoma koment zao zaidi kuliko kuchangia, nilipapenda sana hapa jf kwa ajili ya nondo za hawa wakongwe.
Lakini sasa hivi wengi hawaonekani humu jf, wengine nimeshangaa kuwaona kwenye huu uzi wa wakongwe.
Mi napita tuu maana cjui niende kule au nibaki hapa.
Nitalaa muda sio mrefu.
How are u?
Nitajie mtandao
Eti ee, labda kuna post cjapitia, cjawaona mkuu.Wapo mkuu...
napenda jina lako arabelaMiss u my kaka Slave
kweli ara.. ara wangu.. jamanii... sogea basi kipenzi.. niangalie aash!Likitajwa linanoga hasa bondofus