Wakongwe Forum

Yaani huu uzi umenivutia sana, kuna wakuu humu niliwakuta kipindi najiunga walikua vichwa hatari, hadi najikuta naishia kusoma koment zao zaidi kuliko kuchangia, nilipapenda sana hapa jf kwa ajili ya nondo za hawa wakongwe.
Lakini sasa hivi wengi hawaonekani humu jf, wengine nimeshangaa kuwaona kwenye huu uzi wa wakongwe.
Mi napita tuu maana cjui niende kule au nibaki hapa.
 
Please stay
 
Kuna hawa hapa,

Ulimakafu,
Mshume Kiyate,
CtVKilaZA,
BAK,
Kaunga,
Saint Ivuga,
Aminata 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…