Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Hahhahah nimekumbuka kitamboo saaana lol.....those good days
Wakati huo nilikuwa bado mgeni jukwaani, nilipenda tu kufatilia matani yao chitchat. I enjoyed their jokes kwa kweli. Mr Rocky na Mamndenyi ilikuwa couple
 
Nimsahau yeye halafu iweje?
Alinipa kumbatiao tamu pale Chumvini wakati twaelekea Pangani....mpaka leo ana leso yangu yenye machozi yangu
Nimsahau yeye halafu iweje?
Alinipa kumbatiao tamu pale Chumvini wakati twaelekea Pangani....mpaka leo ana leso yangu yenye machozi yangu
Wow! ulilizwa na nini sasa?
 
Back
Top Bottom