KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,104
@ManoahKuna list ya wakongwe wa jukwaa naisahau sahau, nitapost kila nitakapokuwa nakumbuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@ManoahKuna list ya wakongwe wa jukwaa naisahau sahau, nitapost kila nitakapokuwa nakumbuka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Taratibu shemeji... anaitwa Blaki Womani
Nikitoka Arusha ntakuja fasta.Hunishindi mimi.
Yale mambo yetu tayari.
Sijui utakuja lini aisee....yaani kama mpya.
Nimefanyia mazoezi mpaka nimezoea.
Kokutona enshanani yo'omumaino.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nayapanga vizuriUmeanza kurudisha majeshi nyuma.
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Nayapanga vizuri
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Kweli sijakuwepo humu siku nyingi duh, hii wakongwe imeanzishwa lini?
Alikuwa nao wengi kwelikweli. Mwenyekiti huyooha ha ha baba mwenyekiti nakusalimu, waite wakongwe wote.
hivi mkeo alikuwa nani vile
Nilikuwa mfaidika piakyanaKyoMuhaya aliwahi kutoa ofa kwa watu aliowapenda
Daah...Hii thread nzuri sana..Hii siredi nimeipenda jeee.... Wapi Lily Flower
Huyu jamaa kaonekana mara ya mwisho March 9 2016
Umemsahau wapi Zinduna
Kuna ka ukweli flan hivi...Unaweza kuta wakongwe wote wana ID mpya na ni maarufu pia, so ulipowataja tu wakazifufua, Multiple ID hizi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaa!!!
Kwani mnajuana?
Hahahhaha......ushanivua nguo binamu....ushanivua.
Hahahhah......ngoja nimalize kucheka narudi.
Mdogo wa umri tu yule binamu....ila hatareee.
Aiseeee.....we mpekuzi hatare