miss chagga hata ubinamu hautaki tena baada ya kufulia.
Huyu mwanamke kiboko.
Bavaria hataki kuusikia eti anasema ubinamu unampotezea mishe zake anakosa deal
Ndo maana alinifilisi na akasepa kwa gear ya ubinamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
miss chagga hata ubinamu hautaki tena baada ya kufulia.
Huyu mwanamke kiboko.
Ahsante kwa kujaNami ni mkongwe au niende makapuku forum
My Eli79Wakongwe wengi wamebadili usernames. Tembosa uliopotelea wapi? Nilijitahidi umpate miss chagga ukashindwa[emoji12] [emoji12]
Yangu kabisa.Hiyo avata ni yako?
Miss you too.
Naomba nikusalimie Mkuu
[emoji12] [emoji12] Natafuta pa kutuliza mtima lakini sipaoni. Nani tena kafanya mambo akakuacha na kibebi?Single mother.
Mwenzangu umeoa?
[emoji85] [emoji85]
Naomba nikusalimie Mkuu