Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonaeee!zitakuwa tamu sana mpaka zinapakia ndege
K.O.R.O.G.W.ETanga sehemu gani. Nishawahi kuishi huko.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Na huo mwanya.
Uache ukorofi wa ki legendaryAmboni caves 😀 😀
Tena uniogope milele maana nang'ataNakuogopa sikuhizi[emoji17]
Naunga mkonyo hoja, ooooh sorry mfupa hauna ulimi.... AaaaahJioni ya leo tuanze interview za wakongwe.
Ahsante..Kipindi hichi ni kupambana tu..Na
Nakupenda pia.
Mambo yamebana kinoma.
Shwari lkn?
Mie nang'ata zaidi... Hasa nikipata hiyo pua yakoTena uniogope milele maana nang'ata
Mimi mbona hujanihamasishanitahamasisha wakongwe wote warudi
Hee unang'ata watu?Mie nang'ata zaidi... Hasa nikipata hiyo pua yako