Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

baadae nitalipamba jukwaa kwa machapisho mbalimbali.
 
Hahahahaahahaaaa upara tena? Haahahaaa mi nina nywele kila idara kama huamini nakutumia picha kwenye PM
Mie Pm siku hizi naziogopa sana.
Nikija Pm lazima nilambwe....nahisi kuna uchawi huko Pm.

Au ngoja nijaribu
 
Hahahaaaa
Ila kweli upara unataka uvumilivu
Hakuna hata vyakuchomachomaaa
Mie ndo mana choice zangu za ajabu ajabu, bora tuko pamoja.
Hivi ushawahi kuchomwachomwa na vindevu wewe?
Achaaaa.....achaaaa.
Mie upara hapana.
 
Mtoto hataki ku cheat anataka nikiwa mbali achezee kitu mwenyewe.

Ila ana kesi kuagiza dildo bila kibali.

Hivi dildo Magufuli hajazipiga marufuku bado?

Teh teh teh haya bana.

Ama kweli umepata safari hii.

Mtoto kakamilika idara zote hadi ile ya muhimu kabisa...software hadi hardware😀.

Btw, hivi G alipotelea wapi?
 
Mtoto hataki ku cheat anataka nikiwa mbali achezee kitu mwenyewe.

Ila ana kesi kuagiza dildo bila kibali.

Hivi dildo Magufuli hajazipiga marufuku bado?
Mimi kwako zumbukuku nathubutu kusema sikuachi[emoji126]
 
Back
Top Bottom