Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Msaliti Namba moja wa chadema ni Mbowe.

Mbowe ni Yuda esikarioti wa mabadiliko ya kweli ,

Kubadili gia angani na kutuletea Mr zero na Mafisadi kwenye chama ,inauma sana
Vipi wamekuvuruga huko utokako ee
 
ulivyonichunia kama vile tunagombea bwana.....lol
Mzima jamani?
Aaaa mim na wewee teynaaa,,sikuoni tu,halaf mim na wewe hatuwezi gombea bwana ni tunaachiana tu "kizuri kula na nduguyo"au umeusahau ..
 
Hapana...supastaa sijawahi kumsaidia.

Kwanza mi na yeye tushawahi kuwa na beef kwa muda mrefu tu hadi hii majuzi ndo naona kidogo amani imerudi.

Na hapana Mangi. Supastaa hanifahamu.

Mtu ambaye kidogo nahisi huenda ananifahamu kidogo ni Maxence Melo....wengine hudhania tu kuwa wananifahamu lakini hakuna kitu. Na ndo maana unaona nina nyodo sana....😀😀😀

Mdogo wangu Nyani Ngabu me ninakufahamu fika acha kujidanganya kua hakuna mtu anayekufahamu zaidi ya melo
Vipicha kidogo ni kama mbilimbi kwenye postView attachment 371497View attachment 371498
 
Back
Top Bottom