Wakongwe Forum

Wakongwe Forum

Wakongwe wenzio wamekuchunia, ngoja tuchangamshe baraza, heri ya Krismass na Mwaka mpya mkongwe, Mungu akupe amani na fanaka si katika kipindi hiki cha siku kuu pekee bali katika maisha yako yote pamoja na wakongwe wenzako Tembosa
Ha ha ha ha heri ya Christmas mkuu
 
Back
Top Bottom