George opong weah, Radebe, Mido (wa misri sina uhakika kama linaandikwa hivyo),Patrick Mboma,Piarre Wome, Haruna koni, Abedi Pelle, Makeneki (sina uhakika kama linaandikwa hivyo,
Na fundi mwenyewe best African player of all time.Na role model wa Ronaldinho Gaucho.Sijui kwa nini wazungu hawampendi na wakasahau kumuweka kwenye list ya top 100 best footballers of all time.
JJ OKOCHA.
Kwa nini mkuu?Inawezakana ikawa ulikua Bar wakati unaandika maneno hayo
Kwa nini mkuu?
Mimi binafsi naona alistahili kama Nwanko Kanu walimuweka, kwa nini isiwe Okocha.Okocha aingie kwanye 100 greatest? kwa misingi ipi?
Mimi binafsi naona alistahili kama Nwanko Kanu walimuweka, kwa nini isiwe Okocha.
To me between the two JJ Okocha is far better.