Wakongwe tukumbushane kuhusu wanasoka wa Kiafrika

Wakongwe tukumbushane kuhusu wanasoka wa Kiafrika

DBC

Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
19
Reaction score
11
Leo naomba tukumbushane baadhi ya wachezaji wa Soka wa Kiafrika waliotamba katika soka la ndani ya Afrika na soka la kulipwa duniani lakini wa kiafrika.

Mfano akina Sunday Olisieh, Rodger Milla, Taribo West, Nwanko Kanu, Augustine Jay Jay Okocha, Rigobert Song, Samuel Etoo, Patrick Mboma, Marc Vivien Foe, Songo'o, Benni McCarthy, Aaron Mokoena, Pierre Aubamayang, Hossam Hassan, Amri Zakhi, Ayman Mansor, Victor Ikpeba, Samson Siasia, Stephen Kesh, Emanuel Amunike.

Taja unaowajua na unayoyakumbuka
 
Amunike, Celestine baba y'all,tijan babangida,mustapha hadji,bakayoko,
 
Bwalya kalusha,na ile kaunda eleven iliopata ajali ya ndege gabon miaka ya 90
 
Mustafa haji,
JJ Okocha,
Yusuf haji,
Kanu,
Aboutrika
fat-hi
etoo
zidane wa egypt
Taribo west
 
  • Thanks
Reactions: DBC
George opong weah, Radebe, Mido (wa misri sina uhakika kama linaandikwa hivyo),Patrick Mboma,Piarre Wome, Haruna koni, Abedi Pelle, Makeneki (sina uhakika kama linaandikwa hivyo,

Na fundi mwenyewe best African player of all time.Na role model wa Ronaldinho Gaucho.Sijui kwa nini wazungu hawampendi na wakasahau kumuweka kwenye list ya top 100 best footballers of all time.

JJ OKOCHA.
 
Inawezakana ikawa ulikua Bar wakati unaandika maneno hayo
 
Mi namkumbukaga Flavio wa Angola Yule.Alikuwa mfupi ila anapiga sana magoli ya vichwa...nadhani alichezaga Al ahly
 
Piusi ndiefi, serestin babayaro ,tijan babangida,khalilou fadiga,kunde yekeke ,makannaki,qunton futune ,mark fish Lukas radebe
 
  • Thanks
Reactions: DBC
Mimi binafsi naona alistahili kama Nwanko Kanu walimuweka, kwa nini isiwe Okocha.

To me between the two JJ Okocha is far better.

Mkuu Okocha ndie aliekuemo na sio Kanu.

Ila binafsi siamini kama alistahiki.
 
George Weah nadhani rekodi yake haijawahi vunjwa dunia nzima,
Abedi Ayew "Pele",
Anthony " Tonny" Yeboah,
Philemon Masinga,
Lucas Radebe,
victor ikpeba,
Tijani Babangida,
Mohammed Aboutrika n.k
Kalusha Bwalya
Ticotico
Seydou Keita
Fredric Kanoute
Peter Tino
Sunday Manara
Edibily Luntamila
 
  • Thanks
Reactions: DBC
Wale wakongwe wa Simba na Yanga watakuwa wanawakumbuka zaidi hawa;

Raphael Ochukwu
NUMBA MUMBAMBA
BOLIZOZO
Tuendeleze wababe waliozinyamazisha Simba na Yanga kwenye Ardhi ya Tanzania
 
Back
Top Bottom