Kuna madogo humu hii nyimbo ya nipe 5 ambayo ilikua inatumika kwenye kipindi cha Channel 5 kabla haijaitwa EATV enzi hizo anatangaza Sekioni David Son ambacho Zembwela enzi hizo alikua anaigiza na marehemu Max baadae hapa karibuni akakibadirisha jina akakiita Uswazi ndio hawa madogo wanaweza kukijua na hio Mrembo namba 8 imetoka hawa madogo bado hawajazaliwa hawawezi kukuelewa