Dzonga - Afrique
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 569
- 1,493
Cool J alitikisaga sana enzi za ujana wake na zile break dancing kama Michael JacksonR.I.P Brother.
Yaah akina Diga Digq, Black Moses nk.Cool J alitikisaga sana enzi za ujana wake na zile break dancing kama Michael Jackson
Mkuu, hivi SMALL JOBISO pia ni wa enzi za akina Bosco??Yaah akina Diga Digq, Black Moses nk.
Yeeeees. Watoto wa 2,000 hawawezi kumfahamu Bosco.Hii lazima ni post ya wazee
OK...Jim wageni wazeeYeeeees. Watoto wa 2,000 hawawezi kumfahamu Bosco.
Mkuu, hivi SMALL JOBISO pia ni wa enzi za akina Bosco??
Diga diga nilimuona mbeya alikuwa dereva taxi paleYaah akina Diga Digq, Black Moses nk.