Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
Aku π2007 unatambaa, salimia kwanza
SalimiaAku π
Badala uombe namba unaomba salamu wewe zwazwa kweli..!Salimia
Mkuu hapa hakuna chakuelewa we andika unavyojisikia tu!Aliye elewa anieleweshe tafadhali.
2007 kama unatambaa ina maana you are 18?Salamu wakubwa jaman nilikua na survey Kuna member since 2007 ndo natambaa sijui ila ivi mnajuaga kama Kuna watu wamepotea, au hatupo nao Tena ila muendelee kutupa madini nawaheshimu viongozi muendelee kuepo π―.
Nna namba hadi sijui nizifanyie nini, wengine hata kuwajibu siwajibu.Badala uombe namba unaomba salamu wewe zwazwa kweli..!
unawaogopa humu zimejaa bikra!Nna namba hadi sijui nizifanyie nini, wengine hata kuwajibu siwajibu.
Wa humu hapans
Bikra za madume jike sio πunawaogopa humu zimejaa bikra!
MtajeBikra za madume jike sio π
Humu namuelewa mmoja tu na anajijua.
Anajijua siwezi mtajaMtaje
π€£π€£π€£ hawa ndio mpo nao busy kwa sasa, wanasema wa 2000-2005 wameshachoka. Yaani eti binti wa miaka 20-25 amechoka watu wanataka under 20.Yaaan 2007 anatambaaa but now n MSHANGAZI life goz too quickly...