Wakongwe wa JamiiForums tujuane

Wakongwe wa JamiiForums tujuane

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Humu JF hakuna kiashiria chochote kutambulisha wakongwe. Sasa tutambuane wakongwe wenzangu ambao tunazaidi ya miaka 10 tangu kujiunga JF.

Comment chochote kwenye uzi huu kama unaangalau miaka 10 ndani ya jukwaa hili. Kama sio mkongwe naomba upite kimya.
 
Nipo hapa tangu 2008. Avatar yangu ikiwa "Bluekenge" Nakumbuka post yangu ya kwanza ilikuwa neno "Asante" nikimjibu Pasco Mayalla ambaye alinikaribisha kama mwanachama mpya.😀 Siku hazigandi mjue.😉
 
Umeipotezea wapi Avatar yako mkuu
 
Humu JF hakuna kiashiria chochote kutambulisha wakongwe. Sasa tutambuane wakongwe wenzangu ambao tunazaidi ya miaka 10 tangu kujiunga JF.
Comment chochote kwenye uzi huu kama unaangalau miaka 10 ndani ya jukwaa hili. Kama sio mkongwe naomba upite kimya.
Na wakongwe wa kusoma bila kukomenti, tupia neno
 
Umeipotezea wapi Avatar yako mkuu
Nadhani ipo, kuna wakati laptop niliyokuwa nikitumia iliharibika, nilipopata nyingine ikawa taabu kuifufua .... Nikaunda hii ya sasa.

BTW ... maroon7 ilikuwa moja kati ya member wachangiaji sana wakati huo.
 
Back
Top Bottom