Umeipotezea wapi Avatar yako mkuuNipo hapa tangu 2008. Avatar yangu ikiwa "Bluekenge" Nakumbuka post yangu ya kwanza ilikuwa neno "Asante" nikimjibu Pasco Mayalla ambaye alinikaribisha kama mwanachama mpya.π Siku hazigandi mjue.π
Na wakongwe wa kusoma bila kukomenti, tupia nenoHumu JF hakuna kiashiria chochote kutambulisha wakongwe. Sasa tutambuane wakongwe wenzangu ambao tunazaidi ya miaka 10 tangu kujiunga JF.
Comment chochote kwenye uzi huu kama unaangalau miaka 10 ndani ya jukwaa hili. Kama sio mkongwe naomba upite kimya.
Nadhani ipo, kuna wakati laptop niliyokuwa nikitumia iliharibika, nilipopata nyingine ikawa taabu kuifufua .... Nikaunda hii ya sasa.Umeipotezea wapi Avatar yako mkuu
Ila Kasie utakuwa umri umesogea sana, maana tangu nimeanza kusoma comments zako ni zaidi ya miaka kumi ππ½Napita kimya ....πΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπ.
Hapa hapaTuliobadilisha ID kama zote ndani ya miaka hio 10 tuna komenti wapi? Lol
Na unabadirisha Id kwa malengo gani hasa?!Tuliobadilisha ID kama zote ndani ya miaka hio 10 tuna komenti wapi? Lol