Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Kabisa upo sahihi...kitambo toka Jambo Forum kulikuwa na Ma Great Thinker....Tena Khabari za uhakika zilikuwa zinapatikana huku mapeeeema kabla ya sehemu nyingine yeyote,,,,,Salamu kwa maveteran wote back in 20 years mlitumia teknolojia gani kuandika mabandiko marefu?
1.Nyuzi zenu hazichoshi kuzisoma
2.Nyuzi zenu zimejaa logical consistency
3.Nyuzi zenu zina marumbano ya hoja
4.Nyuzi zenu hazina udaku wala utoto
5.Nyuzi zenu ni urithi wa dhahabu kwa kizazi chetu
Mshana Jr Bujibuji Simba Nyamaume britanicca GENTAMYCINE binti kiziwi Saint Ivuga rikiboy Joannah Saint Anne Chizi Maarifa Smart911
PIA COMPUTERDuh! Halafu wengi nadhani walikuwa wanatumia viswaswadu.
KUSOMA VITABUNini kifanyika ili kuendeleza kizazi chenye fikra pambanuzi?
upo sahih tena zile simu za kufunua na kufunika nimetumia jf miaka 6 bila kujiunga toka niko form3 kupata madinDuh! Halafu wengi nadhani walikuwa wanatumia viswaswadu.
Sana tu kipenzi, leo jioni nataka nikutoe outMke wangu ushanimiss
Binafsi naona we are so much bombarded with information than our minds can bearKulikua na comprehension na kuandika insha miaka ile sijui Kama haya mambo bado yapo, kulikua na waandishi wa vitabu kila baada ya miezi michache kuna riwaya mpya inatoka na ushindani wa uandishi so walipikwa sawasawa zilipokuja computer ilikuwa ni kuhamisha tu maarifa kwenda kwenye tech! Kwa sasa hawa vijana wanajua hata insha? Au ushakua msamiati? Kuna riwaya za kiswahili mpya siku hizi? Nani anasoma kitabu? Haya kumekuwa na tech nani anasoma maarifa zaidi ya kushiba insta, fb, TikTok na kwingine? Maarifa yamekuwa ss kwnye fingertips lakini ujinga unaongezeka kila siku badala ya kupungua