Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 1,648
- 3,290
Indeed! ndio maana hua napenda kufatilia sana jamii intelligance kuna mengi nimeyajua kuhusu hii dunia tofauti na thread za sahivi.upo sahih tena zile simu za kufunua na kufunika nimetumia jf miaka 6 bila kujiunga toka niko form3 kupata madin
Jf ya kipindi kile ilikuwa the best