Indeed! ndio maana hua napenda kufatilia sana jamii intelligance kuna mengi nimeyajua kuhusu hii dunia tofauti na thread za sahivi.upo sahih tena zile simu za kufunua na kufunika nimetumia jf miaka 6 bila kujiunga toka niko form3 kupata madin
Jf ya kipindi kile ilikuwa the best
Hongereni sana wakuuTulitumia simu za Siemens, Philips, Motorola na Nokia. Kwa kweli tulijitahidi sana. 😝
Mjomba! halafu hatutumii mb nyingi.Tulitumia simu za Siemens, Philips, Motorola na Nokia. Kwa kweli tulijitahidi sana.
raraa reree hana baya na mtu.Bila kumsahau mwamba wetu raraa reree akiwa kwenye ala za Jf akigawa likes kama njugu
Kinachokufanya uone ni wa juzi ni kipi?
Haaaaaaah ni nyani mzeeKinachokufanya uone ni wa juzi ni kipi?
Mtu humjui nyuma ya keyboard ushaanza kumfanananisha na vijana wa juziHaaaaaaah ni nyani mzee
ComputerSalamu kwa maveteran wote back in 20 years mlitumia teknolojia gani kuandika mabandiko marefu?
1.Nyuzi zenu hazichoshi kuzisoma
2.Nyuzi zenu zimejaa logical consistency
3.Nyuzi zenu zina marumbano ya hoja
4.Nyuzi zenu hazina udaku wala utoto
5.Nyuzi zenu ni urithi wa dhahabu kwa kizazi chetu
Mshana Jr Bujibuji Simba Nyamaume britanicca GENTAMYCINE binti kiziwi Saint Ivuga rikiboy Joannah Saint Anne Chizi Maarifa Smart911
uwe unanitag tujifunze woteIndeed! ndio maana hua napenda kufatilia sana jamii intelligance kuna mengi nimeyajua kuhusu hii dunia tofauti na thread za sahivi.
Ok! mkuu mimi niko page ya 67 sahivi lakini...uwe unanitag tujifunze wote
kwenye mambo ya muhimu yale unayotaman na wengine wayajueOk! mkuu mimi niko page ya 67 sahivi lakini...
Oook! don't worry!kwenye mambo ya muhimu yale unayotaman na wengine wayajue