Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Nakumbuka ka- harufu kake ikiwa MPYA imetoka dukani
🤣😅
.
Wakuu Hivi Viatu Vilikuwa vinaitwa Abeid Mziba
MÃ ana Yeye ndie mchazaji pekee alikuwa anatumia viatu hivi wakati huo ligi Daraja la kwanza kabla premier league
Ndio vikabatizwa jina lake...