TTT (T tatu) = Titi kubwa, Tako kubwa, Tumbo kubwa..!!! Bila hivi we ni kitoto cha afumbili..!!
Hao ni kundi la BROILERS..!!Sasa mzee baba kuna hawa Mabinti wa 2001,2002,2003, wana hzo sifa tunawaweka wapi
Ile ipo WhatsApp ntakuchek badae ili upate kufika.....π π π Aiseee navuta waya .. ila waya haufiki.. mie kijana wa 2010..
kaka nili kuwa kakola hiyo, advancement ili kuwa kubwa.Mnatupiana vineno na kina Poor Brain na Intelligent businessman wa 2006, bora mtulie mlee wajukuu tu hawa vijana hawana nidhamu watawavua nguo.
Mkurugenzikaka nili kuwa kakola hiyo, advancement ili kuwa kubwa.
my uncle ali kuwa na stationery, hivyo nili ibia muda hapo.
Niite raisi wa ma jobless pro maxMkurugenzi
π π π π Haya muheshimiwa Rais wa Jobless ProMax a.k.a Mkurugenzi wa wasio na ajiraNiite raisi wa ma jobless pro max
Wewe ni mzee ila huna akili, ni vyema ukajikumbusha pasipo kukejeli watu. Kwa sababu watu waliokuzidi umri nao wakija stori itakuwa the same. Hata sisi tukiamua kufanya hivyo stori itakuwa the same. Wajinga wazee ni wengi sana....Tulia mdogo wangu alfu mbili... imenisaidia kuwakumbusha kwenye game tupo kitambo kipindi hiko mnajisaidia na kuchambwa sisi tupo online kwenye chatrooms tunatongoza watoto wazuri... hahahahh
symbian Phones ndio Ile ile jamii ya Philips??Ku set internet kwenye symbian phones...
Kuna jamaa walipiga sana hizo pesa, ku set tu internet kwenye simu ya mtu...
πΉπΉ Mzee wa chudaiwakongwe tulioharibikiwa tulikuwa tunapita rahatupu blog
πΉπΉπΉ humu tupo na baba zetuTulifaulu wawili tu kijiji kizima baada ya shule kufelisha miaka mitano! Tukaalikwa church, shule, serikali ya kijiji na ikaandaliwa sherehe, mwaka 1988 hiyo
cheupe dawa chudai ni porno za kihindi. kumbe unaangalia?πΉπΉ Mzee wa chudai
Ni hivi utu uzima hauhusiana na kutopenda warembo,tatizo ni kuwapenda wanafunzi na wake za watu,hapo unakuwa mtu mzima hovyoo,kwasababu unajua mke wa mtu sio busara kutembea nae na unajua mwanafunzi unamuharibia ndoto zakeHonestly nimepata kitu hapa......
Kumbe Kuna watu wazima tuu ....... Aseeh shikamoo nii wazee
Ina maana kumbe you are my brother nikajua age mate Juzi unalalamika kwenye garii.... Aseeh π
Bwashee Noah Scribe adjee mzee... Au unataka shikamoo ππ
Sijasema ni mbaya kupenda warembo lakini mm nikifikria ni kizazi chetu hiki kumbe braza kabisa π...Ni hivi utu uzima hauhusiana na kutopenda warembo,tatizo ni kuwapenda wanafunzi na wake za watu,hapo unakuwa mtu mzima hovyoo,kwasababu unajua mke wa mtu sio busara kutembea nae na unajua mwanafunzi unamuharibia ndoto zake
Nje ya hapo hakuna ubaya maisha ndio haya haya
Nilipata mademu wengi kupitia marafiki.com, it was nice sijui ilishiaga wapiView attachment 3204285
Msn Messenger 2007, kipindi hiko watoto wadogo mnafundishwa "that is an orange" sisi tulikuwa humu msn tukisoma habari za mambele na kufuatilia ulimwengu unaendaje..
View attachment 3204286
Hii marafiki, juu hapo kuna kitangazo cha Buzz, miaka ya 2005/2006 kama sijasahau... mwanzoni iliitwa darchat kama sijasahau... watoto wengi humu kipindi hiki mnajisaidia kwenye nguo... kwa kipindi hiko hii ndio ilikuwa kama tinder sasa, nilipata manzi anaitwa Mwaju miaka hio sintosahau..
View attachment 3204288
Bongo5 miaka ya 2007/2008..
View attachment 3204289
Darhotwire miaka ya 2007/8/9... hapa wakongwe wengi mnakumbuka vingi sana kabla ya jamiiforums...
View attachment 3204290
Tanzatl, hii nadhani ilikuwa miaka ya 2004 kama sijasahu niko primary school ,.. kipindi hiko unamaliza darasa la saba una ndevu ushanyoa hadi upele kwenye kidevu..
View attachment 3204291
Jamboforums kabla haijavamiwa na watoto wa 2000s, hapa ni 2006/2007 nadhani kabla haijawa jamiiforums...
View attachment 3204292
Jamboforums 2006.... now jamiiforums, kipindi hiko wanafanya na donation ku run site...
View attachment 3204293
Business times au bcstimes.com--- hapa miaka ya 2004/2005 hata jamiiforums haipo, humu ndipo tulikuwa tunaingia kusoma habari, udaku, magazeti n.k
View attachment 3204297
Hii ni hi5 miaka ya 2002 kama sijasahau au 2003...
View attachment 3204299
Hii ni jambonet miaka ya 2004 i think so... hapa ilikuwa page under maintenence... nakumbuka...
View attachment 3204302
Hii ilikuwa ni YoungAfricans, miaka ya early 2000s.. kipindi hicho wengine ndio mnazaliwa halafu leo mnatutukana humu jamiiforums...
Braza kabisa na mzee pia wa 45Sijasema ni mbaya kupenda warembo lakini mm nikifikria ni kizazi chetu hiki kumbe braza kabisa π...
Ila vunja mifupa kama bado meno iko.......
Kuna kipind utatamani ukae tuu usisumbuliwe
Wengine hapo tupo msingi darasa la saba, hata simu hatuna.Hapo chini ya hio screenshot kwenye redline mwaka 2006 huo, walikuwa online ni Nyani Ngabu ,JokaKuu na we ngine.
View attachment 3204314
Naonaga X wanazisifia kwenye RT zangu basi naishiaga kucheka..!! πΉcheupe dawa chudai ni porno za kihindi. kumbe unaangalia?
halafu wewe ulijiunga jf ukiwa na umri gani account ya 2015 sio mchezo