Noah Scribe
JF-Expert Member
- Dec 29, 2024
- 578
- 1,436
Oya umefika Dodoma, Nina mshangazi wako hapaJamani mie sio mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya umefika Dodoma, Nina mshangazi wako hapaJamani mie sio mzee
We mamaa wacha, in onyango's voice 😂Aisee😃😃
Unazikumbuka story za dada chiku na afande manyota? Au ni mimi peke yangu ndo nilikuwa nazisoma😀We mamaa wacha, in onyango's voice 😂
Naachaje kuzikumbuka, rahatupu ilikuwa rahatupu kweli, kuna kipindi alikuja na adult comics, kuna moja ilikuwa inaitwa hilda, niliipenda nikawa mpenzi mkubwa wa adult comics, haswa blacknwhite comics zao.Unazikumbuka story za dada chiku na afande manyota? Au ni mimi peke yangu ndo nilikuwa nazisoma😀
Naachaje kuzikumbuka, rahatupu ilikuwa rahatupu kweli, kuna kipindi alikuja na adult comics, kuna moja ilikuwa inaitwa hilda,Unazikumbuka story za dada chiku na afande manyota? Au ni mimi peke yangu ndo nilikuwa nazisoma😀
Chiku alipigwa mbupu akiwa ulaya mpaka akapiga kelele, wenzake chuo wakaenda kumuita matron, walidhani wanauana kumbe wanagegedana 😂🤣Unazikumbuka story za dada chiku na afande manyota? Au ni mimi peke yangu ndo nilikuwa nazisoma😀
Mie naondoka hapa kinole na sgr ya saa mbili usiku bro...wape wape bia wanywe walainishe mbushsu hizo nakujaOya umefika Dodoma, Nina mshangazi wako hapa
Hatari sana😃Chiku alipigwa mbupu akiwa ulaya mpaka akapiga kelele, wenzake chuo wakaenda kumuita matron, walidhani wanauana kumbe wanagegedana 😂🤣
Usije nibemenda bureKumbe wewe mdogo wangu?
Aku staki viben 10 mieUsije nibemenda bure
Dah! Enzi za darhotwire mwanawane umenikumbusha mbali sana....nilikutanaga na mrembo happ hatari sema wakati huo ndio kwanza domo zegeView attachment 3204285
Msn Messenger 2007, kipindi hiko watoto wadogo mnafundishwa "that is an orange" sisi tulikuwa humu msn tukisoma habari za mambele na kufuatilia ulimwengu unaendaje..
View attachment 3204286
Hii marafiki, juu hapo kuna kitangazo cha Buzz, miaka ya 2005/2006 kama sijasahau... mwanzoni iliitwa darchat kama sijasahau... watoto wengi humu kipindi hiki mnajisaidia kwenye nguo... kwa kipindi hiko hii ndio ilikuwa kama tinder sasa, nilipata manzi anaitwa Mwaju miaka hio sintosahau..
View attachment 3204288
Bongo5 miaka ya 2007/2008..
View attachment 3204289
Darhotwire miaka ya 2007/8/9... hapa wakongwe wengi mnakumbuka vingi sana kabla ya jamiiforums...
View attachment 3204290
Tanzatl, hii nadhani ilikuwa miaka ya 2004 kama sijasahu niko primary school ,.. kipindi hiko unamaliza darasa la saba una ndevu ushanyoa hadi upele kwenye kidevu..
View attachment 3204291
Jamboforums kabla haijavamiwa na watoto wa 2000s, hapa ni 2006/2007 nadhani kabla haijawa jamiiforums...
View attachment 3204292
Jamboforums 2006.... now jamiiforums, kipindi hiko wanafanya na donation ku run site...
View attachment 3204293
Business times au bcstimes.com--- hapa miaka ya 2004/2005 hata jamiiforums haipo, humu ndipo tulikuwa tunaingia kusoma habari, udaku, magazeti n.k
View attachment 3204297
Hii ni hi5 miaka ya 2002 kama sijasahau au 2003...
View attachment 3204299
Hii ni jambonet miaka ya 2004 i think so... hapa ilikuwa page under maintenence... nakumbuka...
View attachment 3204302
Hii ilikuwa ni YoungAfricans, miaka ya early 2000s.. kipindi hicho wengine ndio mnazaliwa halafu leo mnatutukana humu jamiiforums...
🤣🤣🤣🤣.. utawakuta kwenye godown, maana hatuna chumba.. maana paka Sasa hivi hawajitambui.. wanakula wanzuki na komoniMie naondoka hapa kinole na sgr ya saa mbili usiku bro...wape wape bia wanywe walainishe mbushsu hizo nakuja
Wee tulia bwana njoo wikend tuenjoyAku staki viben 10
Miye maza alipika pilau na soda vimto 1992 hukoNilifanyiwa sherehe kufaulu la saba!😆
Wee bwana tulia nao mashangazi hayo naja🤣🤣🤣🤣.. utawakuta kwenye godown, maana hatuna chumba.. maana paka Sasa hivi hawajitambui.. wanakula wanzuki na komoni
Hatukati tamaa mzee Kila enzi na mbuyu wakeVijana wa sasa wakiwasikiliza wanakata tamaa kabisa...
Mzabzab 46 0f age😅Jamani mie sio mzee