Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Wakongwe wenzangu mnakumbuka wapi?

Hapana, wanaume wa umri huo wanaweza kuhimili muda mrefu tendo kwa sababu wana experience, sometimes sex sio issue ya umri na experience pia.. kikubwa ni afya njema.

Vijana wa umri mdogo upwiru umewajaa, akigusa kidogo tu wazungu... huo ni ukweli...
ERoni atanisaidia hilo..
Sahihi kabisa mkuu, mtu wa 40s kama ana afya nzuri anakuwa na stamina sana, hakojoi kama jogoo. Yaani 40+ hatakupa magoli manne ila atakupa stamina na experience itakayomridhisha mwenzi wake.
 
AIsee ulifanya nini kwenye hio ID... 🤣Basi itakuwa na matukio si poa...
Wanasema usiamshe vilivyo lala . acha ipumzike kwa amani, ID ilijipatia mshangazi wa maana sana humu jf, ule ulikuwa mshangazi haswaaa, ulikuwa mrefu meupee umejazia una hela, una nywele ndefu kinoma ...mzuri ulikuwa unatoka kaskazini kati. 🥸🥸🥸. ila acha ife hiyo ID iwe R.I.P
 
Back
Top Bottom